Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amefika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa zamani na mbunge wa Rorya, Profesa Phelemon Sarungi (89) kutoa salamu za pole.
Profesa Sarungi alifariki dunia nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana Jumatano, Machi 5, 2025...
Machinga wapo kila pahala
Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road
Hizi ni sehemu hatarishi
Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi
Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini
Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake.
Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ndio maneno na ujumbe wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.mara baada ya kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga kufariki hii leo.
Soma
- TANZIA - Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga...
Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele.
Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii.
Hawa wote kwa Umoja...
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa.
Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata.
Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
Salamu zake ni hizi:
Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo la Salenda, Dar es Salaam.
Mtu huyo amedhibitiwa na hali ni shwari. Nawaagiza Polisi kuchunguza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.