Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
Nisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.