Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la selandar eneo la mikoko.
Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, amesema...
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,
Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
Nikamwambia tena nishushe...
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani)
Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa...
Habari wadau..!
Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia .
Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani.
Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba...
Maisha ya watu 5 wakiwamo wasiokuwa na hatia yamepotea jana, wengine wakijeruhiwa.
Haya yakitokea katika kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa matukio ya dhuluma tokea kwa watu wenye dhamana ya kutoa ulinzi kwa watu.
Aliyesemekana kuwa ni gaidi anasemekana hakuwa gaidi bali alikuwa ni raia wa...
Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu.
Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi.
Chanzo: Ayo tv
===
kutoka Upanga Dar es Salaam kwenye nyumba aliyokua akiishi Hamza, Mwanaume...
Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.
95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
Kuongopea umma
Kujustify propaganda walizozisambaza.
Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya...
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic.
========
Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...