Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo:
Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30
Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management
Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara
Awe na experience ya sales...