MBUNGE SALIM ALMAS AGAWA SMARTPHONE 63 KWA WAJUMBE WA CCM
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mhe. Salim Almas amegawa simu janja (smartphone) 63 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni Saba (07) kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ulanga ili kurahisisha mawasiliano na kupeana taarifa...