kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...