Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.
Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.
Gari inayotarajiwa kumbeba kesho...
Wakuu,
Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zanzibar, Salum Mwalimu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jimbo la Bunda Mjini. Mwalimu atafanya pia mikutano ya kampeni kwenye mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Tabora na kuhitimishi Mkoa wa Katavi.
Ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya.
Soma Pia:
Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa.
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea.
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa...
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora...
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote.
Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba.
Kumekucha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.