Habari, Juzi Mh. Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa mikoa wa mikoa yote ya Tanzania bara na miongoni ya walioteuliwa ni aliyekuwa mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja General Charles Mbuge kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brigedia Generali Marco Kaguti ambaye...