Habari wapendwa.
Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.
Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
Bonjour
Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.
Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye.
Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU...
Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?
Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"
Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo...
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya.
Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.