samaki

  1. K

    Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari, dagaa, sato, mumi, ningu, kamongo, na wengineo kwa mamilioni ili idadi ya samaki iongezeke kwa kasi...
  2. Justus wisdom

    Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    “AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini.. Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwanini ufuge samaki...
  3. Mwachiluwi

    Tambi na lost ya samaki

    Hello Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri Baada...
  4. Mshana Jr

    Ubunifu: samaki wa mbao

  5. 1Afica54

    KWELI Samaki aina ya Papa (Shark), nyama yao ni hatari ina kemikali ya Zebaki (Mercury)

    HABARI WANA JAMII FORUM Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam Je swala hili kitaalamu ni Kweli?
  6. Mshana Jr

    Ufugaji wa Samaki au Ufugaji wa Kuku: Nini Kina faida Zaidi?

    Kuchagua kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku inaweza kuwa ngumu kwa sababu zote zina uwezo wa kuwa na faida kubwa. Lakini unaamuaje? Huu hapa ni muhtasari wa haraka wa kukusaidia: Ufugaji wa kuku: Faida: Ukuaji wa haraka (broilers ni tayari katika wiki 5-6), mahitaji makubwa ya nyama...
  7. Damaso

    Samaki wazuri wa kukaanga

    Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein. Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni samaki watamu sana, nyama laini na yenye upekee wa tofauti.
  8. Ojuolegbha

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  9. R

    Kuna nini kinaendelea Samaki Samaki Masaki?

    Nimeona wachina wengi sana samaki samaki kuna ishu gani inaendelea?
  10. K

    Naomba kuelemishwa kuhusu ulaji wa Samaki wanaofugwa kwenye Mabwawa

    Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria. Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki. Juzi nimepita katika eneo la Luchelele Mwanza palipo na mabwawa haya ya kufugia samaki na kushuhudia uvunaji wao...
  11. G

    Kwahiyo Mbowe kumnunulia lissu kiti Moto na bia , mara akiwa musoma alinunua samaki na ugali wa mtama anamaanisha nini?

    Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo? Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
  12. Mejasoko

    Ufugaji wa samaki unachangia kustawi na kuongezea uzalishaji wa mpunga

    Nchini Indonesia, mbinu ya kale hutumiwa ambayo inachanganya mashamba ya mpunga na mabwawa ya samaki. Samaki husaidia kudhibiti wadudu kwa kuwala wadudu hao na kuchangia kurutubisha udongo kwa uchafu wao, ambayo huboresha oksijeni ya shamba na kuongeza uzalishaji kwa 10%. Tangu 2015, mbinu...
  13. Brojust

    Hivi ni kweli kila ziwa (lake) duniani lina species za samaki wake ambao huwezi kupata popote duniani ?

    Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi. Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu, Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika wanapatikana migebuka tu na species nyingine. Mfano Kenya kuna lake turkana inamaana huwezi kupata sampuli...
  14. Ojuolegbha

    Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini

    Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2). Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba...
  15. S

    Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  16. Manyanza

    Mvua ya samaki hunyesha nchini Honduras.

    Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki. Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu hufahamika kwa jina la Lluvia de Peces. Kila mwaka, kati ya miezi ya Mei na Julai, mvua kubwa na...
  17. appoh

    Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

    Bei ni nafuu sana wawil elf 7 tu piga simu kawaida au whats app 0712505049 had mkoani wanafika kwa bus .
  18. Chomo

    Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa. Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
  19. wa kibondemaji

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  20. BigTall

    DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
Back
Top Bottom