Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki.
Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu hufahamika kwa jina la Lluvia de Peces.
Kila mwaka, kati ya miezi ya Mei na Julai, mvua kubwa na...