samaki

  1. B

    Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  2. Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  3. Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale. Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
  4. Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
  5. Tafakuri Jadidi -Jamhuri ya Samaki

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana. Nikiri sijawahi kumwona na kumsikia Rais Samia akiongea kwa namna ile. Hotuba yake ilibeba ujumbe mzito ulioelekezwa kwenye anuani tatu, hivyo, hadhira tatu; wananchi wa kawaida, wanasiasa na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa andiko hili ningependa...
  6. Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
  7. Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  8. K

    Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  9. Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

    Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga. Ushauri
  10. Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

    Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi. wajajifunza korea...
  11. Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  12. Mvuvi wa Samaki na Mfalme

    Alichoniadithia Babu Yangu mwaka 1996 Mwezi wa 6. Siku ya Juma Pili. " Kulikua na Mvuvi ametoka baharini kuvua, amebeba Samaki watatu wazuri sana. Akiwa anatembea alikutana na mfalme. Mfalme kawapenda wale Samaki akataka auziwe hao samaki. Lakini Mvuvi alikataa kumuuzia. Ndipo mfalme...
  13. Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

    Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka. Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki. Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
  14. Samaki anayetembea nchi kavu na kupaa juu

    Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
  15. SoC04 Serikali ianzishe ruzuku kwa wakulima wa kilimo cha samaki ili kulinda rasilimali za uvuvi kwenye maziwa na bahari nchini

    Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
  16. Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
  17. Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  18. Umewahi kuota unavua samaki kwa ndoano? Hii ndio tafsiri yake

    Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota ndoto atapata riziki nyingi za halali na nzuri. Mwanamke aliyepewa talaka akiona akiwa amelala anavua...
  19. SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  20. Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…