sambaza upendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  2. Abubakari M N

    Kinukamito na Chanikiwiti

    ONYO Hairuhusiwi chini ya miaka 20 UTANGULIZI Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika...
  3. majata

    Sambaza upendo

    Ndugu wanajamii forum wenzangu, kutokana na mwenendo wa janga la corona duniani kwasasa njia mojawapo muhimu kuchukua wakati huu ni kuhamasishana zaidi namna ya kuvunja mianya ya usambaaji wa huu ugonjwa ambao kwasasa hata kwetu hapa Tanzania tunao. Njia kubwa na Muhimu kwasasa ni kuvunja namna...
  4. Gily Gru

    Chuki Ya Nini?

    Siku hizi kila unapoenda iwe kitaa, ofisini au kwenye mitandao ya kijamii watu wanaleta chuki bila sababu ya msingi. Watu wakikuona una maendeleo binafsi na unavaa unapendeza wanakushambulia kwa maneno ya fitina au majungu tu ili kukukatisha tamaa. Wengine wanadiriki kabisa kukushambulia Mungu...
Back
Top Bottom