Maelezo zaidi yameibuka kuhusu watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu, huku ikibainika kuwa Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador Michele Sensi-Contugi na mkewe Stephany Vásconez walikuwa miongoni mwa wahanga.
Sensi-Contugi, mwenye umri wa miaka 44, alikuwa...