Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa.
Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
chama tawala
lissu
lissu 2025
lissu vs samia
mbio za uchaguzi
prof. anna tibaijuka
samiasamia2025samia suluhu
samia suluhu hassan
siasa tanzania
suluhu
tundu
tundu lissu
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais 2025
vyama vya upinzani
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, wanashinda kwa kishindo.
Kupata matukio...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni
Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika:
"Train from...
Piga kura Yako .
Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.
Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .
Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua
Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote
Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa
Siku za...
Wakuu,
Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi?
Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko.
"Badala ya kulalamika Nchi...
Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi.
Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.
Ni hayo tu
Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana kilichofanyika jana Mkoani Mwanza kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayependwa na kukubalika na kundi kubwa la vijana.
Shangwe, nyimbo, na hisia za wazi zilizojitokeza zilionyesha jinsi vijana wanavyomuunga mkono kwa dhati...
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa Rorya.
"Leo ni siku ya Vijana Rorya bila kujali itikadi za Vyama vya Siasa. Natamani niwaone vijana...
CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani.
Ushauri kama Upinzani tunataka beba Nchi kitu ambacho kwa 2025 kina wezekana wazalendo wote kina Tundu Lissu, Mdude...
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania.
Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao...
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ndugu na rafiki yenu
Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu
Nimeridhishwa...
Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mimi nina shida kweli ya usafiri ningepata hiyo pikipiki hakika itanisadia kwenye mambo yangu mengi sana.
Ama hakika mama anafanya Kazi kubwa sana kuliongoza taifa na kutungaanisha wananchi, maendeleo yanaoneka, kila kijiji umeme na maji ya Bomba...
KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025.
Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.