samia 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kata kiu na Maji ya Mama

    Afrika comedy hazitokuja kuisha! Enewei kampeni zimeshaanza.
  2. Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  3. Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  4. Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Tanzania: Wafanyabiashara wadogo tuko pamoja na Samia 2025. Tuko tayari kwa lolote

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia kwenye Uchaguzi wa 2025.
  5. Pre GE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

    Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, wanashinda kwa kishindo. Kupata matukio...
  6. J

    Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika: "Train from...
  7. KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

    Piga kura Yako . Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035. Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania . Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
  8. Pre GE2025 BIMA ya Afya,Toto Afya Kete Murua kwa Rais Samia 2025

    Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa Siku za...
  9. Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

    Wakuu, Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi? Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko. "Badala ya kulalamika Nchi...
  10. Pre GE2025 Kura za maoni za serikali ya mtaa ndani ya CCM, na kura katika uchaguzi wenyewe, zijumlishwe ili kupima kiwango cha ushindi wa Samia 2025

    Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi. Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
  11. M

    Pre GE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  12. K

    Kilele cha wiki ya vijana mwanza chawaibua maelfu ya vijana wakiapa kusimama na Rais Samia 2025, wapinzani wabaki midomo wazi wasijue cha kufanya

    Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana kilichofanyika jana Mkoani Mwanza kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayependwa na kukubalika na kundi kubwa la vijana. Shangwe, nyimbo, na hisia za wazi zilizojitokeza zilionyesha jinsi vijana wanavyomuunga mkono kwa dhati...
  13. Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  14. Pre GE2025 Mbunge Jafari Chege Aja na Mkakati Mpya Katika Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia 2025

    Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa Rorya. "Leo ni siku ya Vijana Rorya bila kujali itikadi za Vyama vya Siasa. Natamani niwaone vijana...
  15. Pre GE2025 Baada ya Uchaguzi wa 2005, naiona CCM ikishinda 2025 bila nguvu ya dola

    CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani. Ushauri kama Upinzani tunataka beba Nchi kitu ambacho kwa 2025 kina wezekana wazalendo wote kina Tundu Lissu, Mdude...
  16. Pre GE2025 Rais Samia 2025 ni kama Biden tu 2024 tofauti ni kiwango cha Demokrasia

    Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana. Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania. Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
  17. Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

    Habari za usiku wakuu! Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi. Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao...
  18. U

    Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  19. Natafuta pikipiki ya Samia 2025 nianzie wapi

    Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mimi nina shida kweli ya usafiri ningepata hiyo pikipiki hakika itanisadia kwenye mambo yangu mengi sana. Ama hakika mama anafanya Kazi kubwa sana kuliongoza taifa na kutungaanisha wananchi, maendeleo yanaoneka, kila kijiji umeme na maji ya Bomba...
  20. J

    Pre GE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…