Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza.
‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...