Hili swali kidogo linanitatiza. Je, Rais mama yetu Dkt. Samia atakuwepo hadi 2035? Nauliza hivyo maana utaratibu wetu wa kuongoza nchi ni 10 years.
Sasa hapa Rais wetu atakuwa ameongoza kwa 14 years. Kwa kule USA Trump ameambiwa hatakama atashinda uchaguzi ila ata ongoza kwa muhula 1 ambao ni 4...