Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji hicho.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Februari 22, 2025 wakati akihutubia mkutano wa tatu wa...