samia chura kiziwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. second9

    Hadithi ya Chura Rais - Chura Kiziwi 🐸

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na nchi iliyojaa maziwa na asali, nchi yenye mandhari nzuri na hali ya hewa bora. Katika nchi hiyo, mnyama aliyekuwa akiitawala alikuwa ni Chura, lakini hakuwa chura wa kawaida, bali Chura aliyekuwa Rais wa nchi. Chura huyu alijulikana kwa kuruka ruka nchi...
  2. Allen Kilewella

    Chura kiziwi naye hutuoa sauti kama chura wengine tu

    Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika. Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka Sasa. Mwalimu Julius Nyerere alileta kwenye lugha ya kiswahili msemo wa "kung'atuka" na "tapeli" na...
  3. G

    Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

    Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la litakapotimia. Katika kauli yake hii nabaini mambo 2:- 1. Ni ule ugonjwa walionao viongozi wengi wa Afrika...
  4. Nyendo

    Pre GE2025 Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura

    Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele wakiona haujibu sasa tulitukane litajibu ama halijibu, sijibu nageuza chura masikio sisikii kabisa...
  5. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
Back
Top Bottom