samia cup

Samia Ahmed Mohammed Adam (Arabic: سامية احمد محمد ادم; born 19 April 1996) is an Egyptian footballer who plays as a midfielder for FC Dornbirn and the Egypt women's national team.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Waandaaji wa Samia Cup acheni Ushamba sasa kuleta Wachezaji wa Premier League kucheza ndiko Kuendeleza vipaji vya Vijana?

    Hamna Akili nyie Mashindano haya ni ya Kukuza vipaji vya Vijana nyie mnaleta akina Kibabage, Baleke na Mzize wa nini?
  2. GENTAMYCINE

    Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Haya mashindano yaliyopewa jina la Samia Cup, Rais anayafahamu kweli? Tukisema CCM wameanza kampeni huwa mnakataa nini?

    Wakuu, Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea. Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu. Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Wananchi wangekuwa wanamkubali kwa dhati Rais Samia kungekuwa na haja ya kuanzisha Samia Cup, Samia Legal Aid, Cheka na Samia na kadhalika?

    Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta za afya na sheria yupo! Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo! Tujiulize je, hii ni ishara...
  5. Cute Wife

    Mashindano ya Dk. Samia, Gekul Cup yahitimishwa Babati Mjini, washindi wajinyakulia Tsh. Milioni 1

    Wakuu, Ila siasa bwana, mnahenyesha watu wee kwa Milioni 1? Ila sisi wananchi tumekuwa cheap sana, na hatujui thamani yetu kabisa. Ni mwendo wa kutumiwa tu kila inapokaribia uchaguzi, na sisi bila hiyana kama nyumbu tunatimiza azma zao! ===== Mashindano ya Dk. Samia and Gekul yamehitimishwa...
  6. Cute Wife

    DC Kilakala asema Samia Cup imehamasisha wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Ni humu tuu... === Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Babutale kuwa yamekuwa chachu ya hamasa kwa wananchi wakati wa zoezi la kujiandikisha...
  7. Stephano Mgendanyi

    Chato Samia CUP Yasaini Mkataba wa Ushirikiano na Suluhu Academy ya Kizimkazi Zanzibar

    Chato Samia Cup yasaini mkataba wa ushirikiano na Suluhu Academy ya Kizimkazi Zanzibar Kituo Cha michezo Cha Suluhu academy kutoka visiwani Zanzibar (kizimkazi) kimesaini mkataba wa kushirkiana na taasisi ya Chato Samia cup iliyoko wilaya chato Mkoani Geita kwaajili ya kuibua vipaji na...
Back
Top Bottom