Hivi karibuni kumekuwa na mashindano kila mahali yakibeba jina la Rais Samia, ambapo matukio kama haya yanaangaliwa kama sehemu ya mikakati ya kuimarisha mahusiano na wananchi kuelekea uchaguzi.
Hapo jana, Oktoba 27, Mwanamitindo maarufu Miriam Odemba alishiriki kwenye Samia Fashion Festival...