samia kugombea urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Pre GE2025 Mwitikio mdogo wa Vijana kwenye Mkutano wa Kumuunga Mkono Samia Suluhu kugombea Urais 2025 Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Utangulizi Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na jambo la kushangaza sana na hakuna wanaccm wanataka kulisemea,wakati linatia doa serikali na Chama cha...
  2. GENTAMYCINE

    Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Wazee mashuhuri mkoa wa Tabora Wafanya Matembezi Kumpongeza Viongozi wa CCM kwa Kuteuliwa Kugombea Urais 2025

    Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt...
  4. G

    Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  5. B

    Pre GE2025 Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025

    Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki. Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo. Sasa hiki kipengele cha kumruhusu...
Back
Top Bottom