MKUU wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi, amepongeza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama ya Samia (Samia Legal Aid) kwani katika mikoa ambayo imefikiwa na kampeni hiyo imeonesha umuhimu wa pekee wa kuongeza wigo wa ufikiaji haki kwa wananchi hususan walio pembezoni na ambao...
Wakuu.
Kwa hiyo kwenye hii nchi sasa hivi kila kitu kinapewa jina la Samia? Kwanini mnafanya kila kitu kwa tone ya Uchawa?
==============================================
Wakati nazunguka zunguka huko mtandaoni nimekutana na hii habari kwamba Wizara ya Katiba na Sheria kuwa wana program yao...