Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.
Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.