Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi...