Honourable Samia Yaba Christina Nkrumah (born 23rd June 1960) is a Ghanaian politician and former chairperson of the Convention People's Party(CPP) making her the first woman to ever head a major political party in Ghana (CPP). In the year 2008 parliamentary election, she won the Jomoro constituency seat at her first attempt. She is the daughter of Osagyefo Dr. Kwame Nkrumah, the first President of Ghana.
Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lissu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu. Mbowe yeye amejaa charisma.
Sasa Lisu kafeli kwa Samia. Kaangukia pua. Anajaribu kwa Mbowe. Ni wazi...
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.
Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
Ikumbukwe majuzi tu CHADEMA wamefanya maandamano ya amani, zaidi ya mikoa 10 nchini. Na wakaenda kupeleka petitions zao maeneo malimbali ikiwa ni pamoja na UN-Tanzania, na wala hapakua na Tatizo lolote. Walipewa full security na polisi Tanzania..
Sasa what went wrong kwenye haya maandamano ya...
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji
Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo
Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima
Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini...
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.
Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.
Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
CHADEMA...
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na...
Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka.
Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
Wengi hatufurahishwi na kinachoendelea nchini kwasasa. Utekaji na mauaji kwa watu wasio na madhara kwa serikali ni uonevu na kujiabisha kama nchi. Hili lazima lidhibitiwe
Huenda yanayosemwa ni kweli kwamba nchi nyingi duniani zinautaratibu wa namna ya kushughurika na watu ambao ni threat kwa...
Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno.
Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.
Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.
Samia...
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.