Wakuu,
Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani!
===
Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion Festival Idris Sultan amesema kuwa watu wanazungumzia kuhusu 'Kaunda Suit' ila Watanzania hawamjui...