Wakuu,
Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu.
Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili walainike kuwapigia kura CCM kwenye Uchaguzi alafu baada ya Uchaguzi hii huduma itakufa na walimu...