Wakuu,
Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂:
DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote wote, kwakuwa ni wengi sana basi wamewakilishwa na wenzao wachache kwenye hilo Samia Uni Bonanza huko...