DKT. SAMIZI NA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA KIBONDO.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Dk. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo leo amefanya Kikao Maalum na Baraza la Vijana UVCCM Wilayani Kibondo na kupata kuzungumza na Vijana hao masuala mbalimbali yanayohusu...