Wakati kukiwa na Sintofahamu kuhusu hatima ya series ya vichekesho ya Umbambamba inayoandaliwa na kundi la Mkojani Gani, mmoja mwa waigizaji wakuu wa tamthilia ya Umbambamba aitwaye Samofi ametangaza kujitoa kwenye kundi hilo.
Akizungumza na kipindi cha Refresh cha Wasafi TV, Samofi ametaja...