Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto'o (43), amepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za kimataifa zinazohusisha nchi hiyo kwa miezi 6, baada ya uamuzi wa kamati ya nidhamu ya FIFA
FIFA imetoa uamuzi huo baada ya mechi kati ya Cameroon na Brazil uliofanyika Septemba...