Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu .
Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja kwenye ligi na mara nyingi unakuta mdhamini anaedhamini timu zaidi ya moja ni upande wa Jezi tu au...
Dunia inakua kwa kasi na mabdiliko mengi yanatokea katika nyanja mbali mbali, nasi kama Tanzania tunahitaji UWEKEZAJI katika baadhi ya sekta ili tuweze kuendana na kas ya mabdiliko, kwa upande wangu, naona UWEKEZAJI ufanyike kama ifuatavyo:-
Cryptocurrency and bonding
Hii biashara mpya na watu...
Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaanamichezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo.
Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.