Sanaa yenyewe hii hapa
Mnada mmoja huko New York, Marekani, umeuza Sanaa iliyopewa jina la Comedian. Kazi hiyo ya sanaa imetengenezwa na msanii Maurizio Cattelan, na imeuzwa kwa dola za Kimarekani milioni 6.2, yaani zaidi ya bilioni 16 za Kitanzania.
Sanaa hii inahusisha ndizi ya kawaida...