Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja.
Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
Matumizi ya AI yameshika kasi, uwezo wa program hizi kutengeneza picha kutokana na maono au mawazo ya mtumiaji, kumeongeza wimbi kubwa la picha hizo zikitumika katika maeneo tofauti.
Wasi wasi wangu ni kwamba itafika wakati hakutokuwa na haja ya kuwa na wachoraji wa picha, kwasababu program...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.