Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam.
Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora.
Hata hivyo, kutokana na ufinyu wa...