Wakuu,
Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea?
Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa.
Soma pia: Sanamu ya Abraham...