Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe .
Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk
https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
Wakuu
Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.
Wanadai...
Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya.
Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini...
Tuweke kwanza pembeni ukweli kuwa huyu muuza nguo anayejiita Sandaland aliyewekwa front kwanza hajui kuvaa sasa sielewi inakuwaje anafanya biashara za nguo wakati anavaa kama Kibu Denis.
Twende kwenye mada kuu.....
Nikipitia kwa haraka jezi ya Simba iliyozinduliwa leo, kuna mambo mawili...
Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda"
Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana...
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.