Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mtendaji wa Kijiji cha Sangambi Wilaya ya Chunya Joseph Nangale (45) kwa tuhuma za mauaji ya Aron Mbuba (18).
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo lilitokea Septemba 17 mwaka huu baada ya marehemu kupigwa...