Wanajamvi nahisi tumemisi kitu katika jukwaa hili na ningependekeza ule uzi wa VAR ya JF wa mkuu mfilisti nadhani utakuja na mambo matamu baada ya kukaa kimya
Nawasilisha na karibuni.
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu.
Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani?
"swali la kijinga likijibiwa kiusahihi humfanya kuwa kwenye kundi la wajanja"
Wakuu salamu zenu katika ubora.
Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.
Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua...
Habari wana JF poleni na kazi na majukumu mbalimbali,
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali langu, ni kwanini fingerprint scanner kwenye simu janja baada ya kuscan upande mmoja wa kiganja either cha kushoto au cha kulia (mfano nimetumia cha kulia) kwa nini nkitumia mkono mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.