Wakuu salamu zenu katika ubora.
Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.
Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua...