Dunia iko katika mapinduzi ya nne ya viwanda ambapo msingi wake mkubwa ni Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHEMA), Maendeleo ya Teknolojia na Mawasiliano yameleta mambo mengi sana duniani hasa kuibuka kwa sarafu za kidigitali (Cryptocurrency and Blockchain technology), Hivyo kama nchi...