Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii.
Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha...