Kwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi.
Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda...
Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto
Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka.
Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
"Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto
Muhimbili.
Anaendelea...
Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo
Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.