Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni.
Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
Wakuu,
Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake
=================================================
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask
Pia, Soma:
+ Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji
+ Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
Mzuka Wanajamvi!
Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema.
Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto.
UPDATE:
KUMBE ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA...
Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi.
Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.