Wakuu,
Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake
=================================================
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha...
1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?
Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa askari feki wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Fadhil Yahaya (29) alikutwa na sare zinazofanana na za jeshi hilo kwenye kituo cha mabasi Msamvu akiwa na vyeo vya kapteni
Akizungumzia...
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar linamshikikia Emmanuel Joseph Magoti kwa kukutwa na sare za JWTZ ambazo ni suruali 2, koti 1 na Tshirt 1.
Bw. Magoti ambaye alikamatwa maeneo ya Mbagala baada ya Polisi kupata taarifa kutoka kwa raia wema na baadaye kukutwa na sare hizo nyumbani kwake, amekiri...
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera linamshikilia Octovian Valentine Mengere mkazi wa mtaa wa Kamizilente katika halmashauri ya manispaa ya Bukoba ambaye ni mlinzi wa kituo cha afya cha Nshambya kilichoko katika manispaa akiwa amevaa sare za jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ) ambazo inadaiwa...
Mkazi wa morogoro Abubakari Mbaya (22) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani pwani kwa tuhuma za kukutwa amevaa sare z jeshi la wananchi Tanzania JWTZ wakati yeye akiwa si askari wa jeshi ilo.
Kijana huyo alikamatwa juzi jioni na askari halisi baada ya kutiliwa shaka eneo la kwa Mathiasi mjini...
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi na Jeshi la Polisi ambazo walikuwa wakizitumia kuwatapeli wananchi.
Updates zitakujia hapa hapa
*Wakuu Habari za Usiku Huu na ninawasalimu katika Jina la Yesu*
1.Nilifanikiwa kufika Nyumbani Usiku uleule,Na Kukuta wanafamilia,Majirani wote wakiwa kweye Taharuki.
2.Ni kweli wanao zaniwa kuwa Askari wawili (2) waliovalia Sare za JWTZ na Wengine watatu( 3) baada ya Kuongezeka wawili (2)...
Sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zilizokamatwa nyumbani kwa Billionea huyo.
Moja ya tukio ambalo limewatikisa polisi baada ya kumkamata Mharami Mohamed Abadallah Chonji ni kumkuta na sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufanya upekuzi wa kina nyumbani...
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika. Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu hao.
Limehadharisha juu ya uvaaji, uingizaji nguo nchini ikiwemo mitumba, kwamba kama itatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.