sare za jwtz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
  2. Kilimanjaro: Akamatwa kwa kutumia sare za JWTZ kuwatapeli watu

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
  3. Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  4. Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

    1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ? 2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ? 3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ? Kama kuna katazo hili la raia kutokuvaa sare za jeshi, kwanini hili limefanyika ?
  5. Morogoro: Polisi inamshikilia Askari feki aliyekamatwa na sare sawa na za JWTZ katika stendi ya Mabasi Msamvu

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa askari feki wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Fadhil Yahaya (29) alikutwa na sare zinazofanana na za jeshi hilo kwenye kituo cha mabasi Msamvu akiwa na vyeo vya kapteni Akizungumzia...
  6. Aliyetoka jela kwa msamaha wa Rais akamatwa kwa kufanya uhalifu kwa kutumia sare za JWTZ

    Jeshi la Polisi Kanda ya Dar linamshikikia Emmanuel Joseph Magoti kwa kukutwa na sare za JWTZ ambazo ni suruali 2, koti 1 na Tshirt 1. Bw. Magoti ambaye alikamatwa maeneo ya Mbagala baada ya Polisi kupata taarifa kutoka kwa raia wema na baadaye kukutwa na sare hizo nyumbani kwake, amekiri...
  7. Kagera: Atiwa Mbaroni kwa kukutwa na sare za JWTZ

    Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera linamshikilia Octovian Valentine Mengere mkazi wa mtaa wa Kamizilente katika halmashauri ya manispaa ya Bukoba ambaye ni mlinzi wa kituo cha afya cha Nshambya kilichoko katika manispaa akiwa amevaa sare za jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ) ambazo inadaiwa...
  8. Sare za JWTZ zamuweka kijana matatani

    Mkazi wa morogoro Abubakari Mbaya (22) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani pwani kwa tuhuma za kukutwa amevaa sare z jeshi la wananchi Tanzania JWTZ wakati yeye akiwa si askari wa jeshi ilo. Kijana huyo alikamatwa juzi jioni na askari halisi baada ya kutiliwa shaka eneo la kwa Mathiasi mjini...
  9. Watatu wakamatwa na sare za Jeshi la JWTZ na Polisi

    Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi na Jeshi la Polisi ambazo walikuwa wakizitumia kuwatapeli wananchi. Updates zitakujia hapa hapa
  10. Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

    *Wakuu Habari za Usiku Huu na ninawasalimu katika Jina la Yesu* 1.Nilifanikiwa kufika Nyumbani Usiku uleule,Na Kukuta wanafamilia,Majirani wote wakiwa kweye Taharuki. 2.Ni kweli wanao zaniwa kuwa Askari wawili (2) waliovalia Sare za JWTZ na Wengine watatu( 3) baada ya Kuongezeka wawili (2)...
  11. "Chonji" akutwa na sare za JWTZ

    Sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zilizokamatwa nyumbani kwa Billionea huyo. Moja ya tukio ambalo limewatikisa polisi baada ya kumkamata Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ ni kumkuta na sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufanya upekuzi wa kina nyumbani...
  12. JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

    JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika. Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu hao. Limehadharisha juu ya uvaaji, uingizaji nguo nchini ikiwemo mitumba, kwamba kama itatokea...
  13. K

    Mwanamke anaswa akiwa na sare za JWTZ

    Jeshi la POlisi Kanda maalumu Dsm linamshikilia Saida Mohamed kwa kosa la kukutwa na sare za Jeshi la wananchi. Kinyume cha Sheria.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…