huyu jamaaa huwa namkubali sana miondoko yake..
hasa ile ngoma ya PAINKILLER!
anateremka na biti kama hataki.
style yake ya kipekee kabisaaaaa!
big up sana sakordie
Star wa hiphop kutokea nchini #Ghana Sarkodie amesitisha kuachia album yake No Pressure iliyokuwa itoke julai, 9, 2021.
Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kufuatia taarifa hiyo na kutoa tarehe rasmi ya kuachia album yake hiyo ambayo ni julai, 30, 2021.
Hata hivyo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.