sarkodie

  1. Sarkodie

    huyu jamaaa huwa namkubali sana miondoko yake.. hasa ile ngoma ya PAINKILLER! anateremka na biti kama hataki. style yake ya kipekee kabisaaaaa! big up sana sakordie
  2. Sarkodie kuachia albamu yake Julai 30 badala ya Julai 9

    Star wa hiphop kutokea nchini #Ghana Sarkodie amesitisha kuachia album yake No Pressure iliyokuwa itoke julai, 9, 2021. Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kufuatia taarifa hiyo na kutoa tarehe rasmi ya kuachia album yake hiyo ambayo ni julai, 30, 2021. Hata hivyo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…